Chama cha Wafanyabiashara wa Ukraine nchini Japani kimezindua mpangokazi wa ushirikiano wa kutoa teknolojia ya kisasa ya ...
Utafiti ambao unafanyia majaribio teknolojia inayodaiwa kuwa na uwezo wa kutofautisha watu wapenzi wa kawaida na wapenzi wa jinsia moja umezua mzozo mkali kati ya waliotayarisha teknolojia hiyo na ...
Je, una orodha ndefu ya manunuzi unayohitaji kukumbuka? Au majina ya wageni wa mkutano muhimu? Kuna mbinu za kumbukumbu tunazotumia kufundisha ubongo ili ufanye kazi vizuri zaidi. Hii ni njia ...
WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda, amesema Tanzania inapaswa kuwekeza zaidi katika tafiti za ...
DAR ES SALAAM: SHIRIKA la Umeme Tanzania (TANESCO) wamezindua Nyumba Janja yenye mfumo wa kisasa wa utakaosaidia kuongeza ...
Mashirika kote duniani yamewekeza hela nyingi kwenye teknolojia ya akili mnemba ila changamoto zimejitokeza. Gharama na faida ambayo havitabiriki, kupungua kwa watumiaji ni ishara kuwa mambo huenda ...
Marekani inaendelea kutawala teknolojia ya akili mnemba, huku China ikiongeza kasi kwa kutengeneza mifumo ya gharama nafuu na kupanga kujenga uchumi unaotegemea Akili Mnemba katika siku zijazo. Mwaka ...
Bara la Afrika linasalia kua bara linalokua katika matumizi ya teknolojia katika michezo. Hata hivyo hivi karibuni michuano mingi ya shirikisho la soka barani Afrika CAF kama vile AFCON imeonekana ...